Ministry of Lands, Housing and Human Settlements

Fomu ya Kukadiria kodi

Makadirio ya kodi yako

TAARIFA

Wizara ya Ardhi inaendelea kuwakumbusha wale wote wanao miliki viwanja na mashamba yaliyopimwa, ambao bado hawajalipa Kodi ya Pango la Ardhi, wahusike kufanya malipo hayo kabla ya mwisho wa mwezi wa sita (6), kwani Ifikapo tarehe 30/06 hatua zifuatazo zifuatazo zitchukuliwa dhidi yao; Watashitakiwa Mahakamani, Mali zao zitakamatwa na majengo yao kupigwa mnada kwa kupitia madalali na Miliki zao zitafutwa.